Thursday 14 May 2015

VIJANA WA INTERNATIONAL OBSERVATORY OF YOUNG CATHOLICS (TANZANIA) WAKIFANYA UTAFITI WA HAKI ZA JAMII

Baadhi ya Vijana wa  International Observatory of Young Catholics (Tanzania) wakifanya Utafiti wa Haki za Jamii katika Parokia ya Lugoba, Iliyopo Jimbo Katoliki la Morogoro, lakini katika mkoa wa Pwani. Tuangalie matukio ya Picha ya jinsi vijana hawa walivyojituma kufanya mambo mbalimbali katika Kikundi hiki lakini zaidi kama vijana wakatoliki na kaaribu uwe part of the fun !
IOYCers wakipanga mipango ya kufanya tafiti.



Vincenzia na Akida wakijadili jambo kabla ya kwenda Parokiani kutoka mahali walipokuwa wamefikia
Kabla ya kuanza safari tulikusanyika kituo cha mabasi Mbezi Mwisho.





Love akiwa nyumbani kwa baba Paroko akiosha vyombo baada ya chakula cha jioni. Kama Cure de Ars no???

Vincenzia akijadili jambo na vijana wa Parokia ya Lugoba

Vicensia akichukua takwimu kutoka kwa Vijana wa Parokia Lugoba
 Hizi ni baadhi ya picha tu ambazo tulipiga wakati wa utafiti huko Lugoba.


Katika Upendo wa Kristu,

Vincenzia-Maria
Mwakilishi IOYC- Africa





No comments:

Post a Comment