Thursday 14 May 2015

RAFIKI KRISTU IN ACTION

Kama marafiki wa Kristu, sikukuu zetu za Noeli huwa tunazisherehekea kwa kumpeleka Kristu kwa marafiki waliopo mitaani. Kwetu, Kristu si wa kukumbatiwa na sisi peke yetu bali tunamfikisha kwa wote popote.

Christ is our friend and a s a friend, he should be introduced to the friends in  our circles and likewise, he introduces us to his friends.

Karika sikukuu ya Noeli basi tulimshare Kritu na vijana wadogo katika mahabusu ya Watoto huko Kisutu Dar es Salaam.

Below, are some of the photos. Do you want to join us in some of our events? Karibu, wasiliana nasi
Ni furaha iliyoje vijana kuchanganyika pamoja, kwa umoja!


Vijana wa RafikiKristu wanatambua wajibu wao katika uinjilishaji na hivyo hujitolea kwa hali na mali kufanikisha activities zao

Kristu ametuita sisi rafiki ingawa hatustahili. Je kuna upendo mkuu zaidi?

Ni vile tu hairuhusiwi kuwapiga picha  watoto waliopo mahabusu lakini  kila mmoja aliguswa moyo wake kwa upendo
Tumikia kwa furaha - Servite in latitia!

Vincenzia, Romanus na Gladys

Kikundi cha Rafiki Kristu in action

Unapenda T shirt zetu? hata XXXXXXXXL tunazo karibu

Encounter, Learn, Inspire ndio Moto wetu  





Asante sana kwa kufwatilia matukio yetu. Karibu uwe mmoja wa rafiki wa Kristu.

Katika upendo wa Kristu,

Vincenzia- Marie




No comments:

Post a Comment