Kama vijana wakatoliki, tunaalikwa kuinjilisha kila siku katika mazingira yetu na mazingira yoyote ambayo tunaombwa kufanya hivyo. Vijana ni marafiki wa Kristu. Picha zifuatazo zitaonesha matukio mbalimbali ya kazi zetu na vijana Ulimwenguni na hapa nchini
|
Angela and Vincenzia visiting a Franciscan Friary at Kilomeni - Kilimanjaro |
|
These are'nt old people hahhahha they are just young people of Kimara Parish Staging for Christmas Play on Christmas Eve last year. |
|
Vincenzia with Brother Naaman, Brother Prosper and other Capuchins at Kilomeni |
|
Diocesan Youths' Mass at Loyola Secondary School; Vincenzia, Anna and Paul |
|
Youths from all over the world at Vatican Metro Station during the First International Meeting of Young Catholic for Social Justice |
|
Giving hands at all times. Some of the diocesan youths during the mourning of one of our friend's child - At Sacred Heart Parish, Manzese |
|
Vincenzia, Fr. Shemfumbwa and friend during the Interreliggious conference in Dar es Salaam. |
|
Guess what? We met Pope Francis....Volunteers at Rio de Janeiro, Brazil during the World Youth Day |
|
Tulipomaliza kutengeneza filamu yetu ya salamu za Noeli kwa Papa Francis. Hawa ni vijana wa Parokia ya Maria Mtakatifu- Kimara |
|
Vincenzia na vijana wa Parokia ya Lugoba |
|
Kwaya ya vijana wa Parokia ya Maria Mtakatifu - Kimara wakiwa mazoeini |
|
Na marafiki tukiwa ndani ya Basilika la Mt. Petro, Vatican |
|
Tukimfariji kijana mwenzetu kutoka kundi la Waumini Wakatoliki La Facebook |
|
Vijana wakisikiliza semina kuhusu "Vijana na Matumizi ya mitandao" |
|
Vincenzia akitoa semina kwa vijana kuhusu "Vijana na Matumizi ya mitandao" |
|
Vijana wakiwa katika makundi wakijadili juu bya mada ya "Vijana na Matumizi ya mitandao" |
|
Add capVijana wakiwa katika makundi wakijadili juu bya mada ya "Vijana na Matumizi ya mitandao"tion |
|
Vijana wakiwa katika makundi wakijadili juu bya mada ya "Vijana na Matumizi ya mitandao" |
|
Vijana wakiwa katika makundi wakijadili juu bya mada ya "Vijana na Matumizi ya mitandao" |
|
Vincenzia akiwawakilisha vijana katika Plenary ya maaskofu alipotoa maada kuhusu Vijana na uinjilishaji mpya |
|
Getrude, Angela na Vincenzia walipomtembelea mgonjwa kuwakilisha vijana wa mitandaoni katika kueneza upendo |
|
Vincenzia akikabidhi kiasi kidogocha fedha kilichotolewa kwa upendo mkubwa na marafiki wa Kristu waliomo katika mitandao ya Kijamii |
|
Rafiki Kristu huwa tayari kujitolea wakati wowote. |
|
Vincenzia kama Volunteer wa Kimataifa wakati wa JMJ huko Rio |
|
Getrude na mgonjwa wetu rafiki |
|
Catrece Abdallah na Vincenzia mbele ya Kanisa huko Madrid wakati wa JMJ |
|
Training on mapping religious conflicts organised by CatholicRelief Service (CRS) |
Kuwa mmoja wetu, kuwa rafiki wa Kristu jifunze mambo mengi kuhusu wewe na jinsi unavyoweza kumtangaza Kristu.
Katika upendo wa Kristu,
Vincenzia
No comments:
Post a Comment