Thursday 14 May 2015

KATEKISIMU WATOTO

Rafikikristu anaamini kwamba, ukimlea mtoto katika kutambua kwamba yeye ni rafiki wa Kristu, basi atkua hivyo hivyo maisha yake yote.

We at Rafikikristu we have Programmes for little one, teaching them the Catechism of the Catholic Church and grooming them in the Philosophy that embraces Christ as their friend.


See some of our action below;



Vincenzia akifundisha Katekisimu kwa kutumia sanaa

Mwalimu picha...mapumzikoni

Teaching kids about Our Lady in front of  a Grotto is better and easier...!

Little by Little we touch lives of every one in our programmes because Christ himself touches them through our humble hands.

Hata mimi naweza kishoka

O...Sikujua Kama Kristu ni rafiki yangu!

Preparing for the Feast of Saint Francis of Asiz - Better way of teaching kids about Saints!

Mwalimu Alice - ni raha kufundisha wakati hata nature ipo kijani kibichi




 Hata mtoto wako anaweza kufikiwa na kufundishwa tena. Mlete!


Katika upendo wa Kristu Rafiki,


Vincenzia- Marie




No comments:

Post a Comment